Home MUSIC Rapper Fred The Godson Aaga Dunia.

Rapper Fred The Godson Aaga Dunia.

0

Rapper Wa Newyork City Marekani Fred The Godson Aaga Dunia Kutokana Na Virusi Vya Corona, Atakumbukwa Kwa Maujanja Kwenye Wordplay Na Signature flow, Aliaga Dunia Mnamo 23rd April 2020 Akiwa Na Umri Wa Miaka 35.

Nas, Fat Joe Na French Montana Ni Kati Ya Mastaa Waliotuma Risala Za Rambi Rambi.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here